Posts

Showing posts from November, 2018
Image
How to make coffee. Please study with me soon In our Lesson Today we will learn how to make coffee tea. Which you can drink when you relax, read or work while you can also use coffee tea is very good and the great benefit to the body of those who enjoy the benefits of coffee tea is; -Coffee stimulates your mind, if you are at work you may find yourself getting sick or getting tired, using coffee tea stimulates stimulating your body with your mind to enhance work efficiency, coffee has glucose that helps to increase your body's abilityChristine helps to make the same blood pressure in body. -Coffee helps the immune system to stimulate the body's immune system, as the coffee stimulates the body and makes it better with diseases and the immune system against cancer especially Caffeine . -helps to reduce headaches, so after using a dodol, or headex It is advisable to use a large amount of water or coffee tea to cure headache. -Coffee reduces the mind stress because it owns ...

Jinsi ya kutengeneza kahawa

Image
Karibuni mjifunze nami Katika somo letu la Leo tutajifunza jinsi ya kutengeneza chai ya kahawa. Ambayo unaweza ukainywa ukiwa umepumzika, unajisomea au ukiwa unafanya kazi pia waweza kutumia chai ya kahawa ni nzuri Sana na inafaida kubwa kwa mwili wa binadam faida hizo za kunywa chai ya kahawa ni Kahawa huchangamsha akili yako, kama upo kazini unaweza kujikuta unasinzia au kupatwa na uchomvu, utumiaji wa chai ya kahawa husadia kuchangamsha mwili pamoja na akili yako ili kuimarisha ufanisi wa kazi, kahawa ina glucose ambayo husaidia kuongeza nguvu katika mwili Kahawa husaidia kufanya sawa msukumo wa damu katika mwili.  Kahawa husaidia mwili kujikinga na magonjwa kwa kuzipa nguvu chembe chembe za mwili zinazokinzana na magonjwa mwilini kwani kahawa huupa nguvu mwili na kuufanya upambane vyema na magonjwa na kukinga mwili dhidi ya magonjwa hasa kansa Kahawa husaidia kupunguza maumivu ya kichwa, hivyo baada ya kutumia panadol, au Headex inashauriwa utumie kiwango kikubwa cha maj...